Baadhi Ya Vipengele Vya Fani Katika Riwaya Ya Adili Na Nduguze

Main Article Content

Mohammed Younis Khalifa

Abstract

Makala huu ulijikita kuchunguza matumizi ya fani katika riwaya ya Adili na Nduguze. nahau. Hivyo Makala uliazimia kuziba pengo hilo. Madhumuni Makala ya Makala huu ni kutaka bainisha matumizi ya fani katika riwaya ya Adili na Nduguze na kuchunguza ni fanio gani zilizotumika katika riwaya ya Adili na Nduguze. Mtafiti alikusanya baadhi ya fani kutoka katika riwaya ya Adili na Nduguze kama vile: tashbihi, taswira, methali, misemo, tashihisi na isitiara. Zilikusanywa na kuelezwa jinsi zilivyotumika katika riwaya ya Adili na Nduguze. Makala huu unatoa umuhimu kwa wanafunzi wa somo la fasihi kujua jinsi mwandishi alivyotumia fani jatika riwaya za makala Kiswahili. Aidha, Makala utatumika kama marejeleo makatabani.

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Khalifa , M. Y. . (2022). Baadhi Ya Vipengele Vya Fani Katika Riwaya Ya Adili Na Nduguze. Journal of Human Sciences, 21(1), 63–69. https://doi.org/10.51984/johs.v21i1.1354
Section
Articles