KISIWA CHA PEMBA ZANZIBAR

Authors

  • Ali Idris Ali Aburima Department of Languages and African Studies, Faculty of Languages, Sebha University

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v24i1.3710

Keywords:

Kisiwa, Pemba, Afrika mashariki, Utamaduni, Jamii

Abstract

This Makala hii inahusu Kisiwa cha Pemba kilichopo katikati ya Bahari ya Hindi, ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Tanzania. Umbali na Tanganyika au Tanzania bara ni 50 km. Kimejulikana kwa muda mrefu kuwa ni kati ya miji ya kale ya kibiashara katika pwani ya Afrika ya Mashariki. Katika makala hii inabainisha umuhimu wa kisiwa cha Pemba katika Afrika mashariki na mambo mbalimbali kama: Hali ya hewa, mimea ya asili, kilimo, kazi, huduma za jamii na mwasiliano.

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2025-03-03

Issue

Section

Articles

Categories

How to Cite

KISIWA CHA PEMBA ZANZIBAR. (2025). Journal of Human Sciences, 24(1), 105-108. https://doi.org/10.51984/johs.v24i1.3710

Similar Articles

1-10 of 19

You may also start an advanced similarity search for this article.

Most read articles by the same author(s)