Ufeministi Unavyopingana Na Uislamu Kuhusu Mwanamke

Authors

  • جابر الزروق جامعة سبها

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v23i2.3141

Keywords:

Ufeministi, Kiislamu, Mwanamke, Jamii, Uislamu Mtume

Abstract

Makala imejadili namna Nadharia ya Ufeministi inavyopingana na dini ya Uislamu juu ya nafasi ya mwanamke. Aidha makala imebainisha baadhi ya aya za Kurani tukufu na hadithi za Mtume Muhammad SAW zinazodaiwa kuendeleza unyanyasaji na ukandamizwaji wa mwanamke. Ukandamizwaji wa mwanamke hasa katika kipengele cha dini na ndoa umekua ukijadiliwa na kuzua migongano ya kihakiki. Suala la umiliki wa mali limeonekana kwa kiasi kikubwa kumtenga mwanamke kiuchumi. Nadharia ya Ufeministi wa Kiislamu imetumika katika kulijadili suala hili. Vilevile nadharia ya Mwitiko wa Msomaji na Uhalisia wa kijamii zimetumika katika kuzihakiki kazi za kifasihi. Aidha makala inaazimia kufuta fikra zilizo zoeleka kuwa, kinachotendeka katika nchi za magharibi ni kigezo cha taaluma na maisha bora ya ulimwengu.

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2024-10-08

Issue

Section

Articles

Categories

How to Cite

Ufeministi Unavyopingana Na Uislamu Kuhusu Mwanamke. (2024). Journal of Human Sciences, 23(2), 101-106. https://doi.org/10.51984/johs.v23i2.3141

Similar Articles

1-10 of 400

You may also start an advanced similarity search for this article.