MAKOSA YA KIMATAMSHI YANAYOFANYWA NA WANAFUNZI WA LIBYA WANAPOJIFUNZA KISWAHILI

Authors

  • Ibrahim Elhadi Mohamed Lehmedi

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v22i1.1700

Keywords:

Athari, Fonolojia, Makosa, Matamshi, Mfuatano

Abstract

Utafiti huu unalenga kuchanganua na kuchunguza makosa ya kimatamshi yanayofanywa na wanafunzi wa Libya wanapojifunza kiswahili. Ili kutekeleza kazi hii, nadhariatete zilijadiliwa, ikiwa ni pamoja na kuwa chanzo cha makosa na matatizo hayo ni kutokana na sababu kadhaa, zikiwemo tofauti za mfumo wa kifonolojia baina ya lugha ya Kiarabu na Kiswahili, Matamshi ya sauti zinazopatikana katika Kiswahili na hazipatikani katika Kiarabu, Athari ya matamshi ya sauti za Kiarabu zinazopatikana katika maneno ya Kiswahili yenye asili ya Kiarabu pamoja na matamshi ya mfuatano wa mfululizo wa irabu mbalimbali.

Utafiti huo ulifanywa kwa idadi ya wanafunzi wa idara ya lugha ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Sebha ili kujua aina na ukubwa wa mateso, kujua sababu za matatizo na makosa haya, na kutafuta ufumbuzi wa makosa yanayofanywa na wanafunzi wa Libya, na kuweka mapendekezo ambayo kuchangia katika kutatua matatizo haya.

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2023-05-09

Issue

Section

Articles

How to Cite

MAKOSA YA KIMATAMSHI YANAYOFANYWA NA WANAFUNZI WA LIBYA WANAPOJIFUNZA KISWAHILI. (2023). Journal of Human Sciences, 22(1), 45-51. https://doi.org/10.51984/johs.v22i1.1700