Taswira Ya Mapenzi Katika Nyimbo Za Watanzania

Authors

  • Mohamed Musbah Ali Mohamed جامعة سبها

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v21i1.1483

Keywords:

تشبيه, أغانى, إستخدامات, تكرار, الحب

Abstract

Makala hii inabainisha taswira ya mapenzi kama inavyojitokeza katika nyimbo teule za Mzee Yusuf Mzee. Katika kufanikisha lengo hili, taswira ya mwanamke iliyobainishwa ni pamoja na mapenzi ni upendo, mapenzi na fitina, mapenzi ni kujiamini, mapenzi na dua, mapenzi ni kutendeana wema na mapenzi na tabia nzuri. Pia makala hii hubainisha uhalisia wa taswira ya mwanamke inayojitokeza katika nyimbo teule za Mzee Yusuf Mzee kwa jamii ya leo.

 

Keywords: Taswira, Nyimbo, Matumizi, Takriri, Mapenzi

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2022-04-26

Issue

Section

Articles

How to Cite

Taswira Ya Mapenzi Katika Nyimbo Za Watanzania. (2022). Journal of Human Sciences, 21(1), 51-62. https://doi.org/10.51984/johs.v21i1.1483