Vionjo Vya Fasihi Simulizi Katika Riwaya Ya "Dar Es Saalam Usiku"

Main Article Content

Saad Buoazuom Mehemed

Abstract

Makala haya inachunguza vionjo vya tanzu mbalimbali za fasihi simulizi katika riwaya ya Kiswahili. Riwaya iliyochambuliwa katika makala haya ni ''Dar es Salaam Usiku'', iliyoandikwa na Ben R. Mtobwa. Kwa kuwa makala haya yanachunguza vionjo vya fasihi simulizi katika riwaya (ambayo ni utanzu wa fasihi andishi), nadharia ya mwingilianomatini au mwingilianotanzu ilitumika katika kukusanya na kuchambua data.


katika makala haya tulipata jibu kwa maswali yalilosema Je; Tanzu mbalimbali za fasihi zinaweza kusimama kivyake pasipo kuingiliana? Je; mwandishi anaweza kuunda mseto wa tanzu mbalimbali katika kazi yake kwa kuzichanganya ili kuunda kazi moja. Na  kuwepo kwa vionjo vya fasihi simulizi katika riwaya kunaborsha zaidi uwasilishaji wa ujumbe?.

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Mehemed س. ا. ا. (2022). Vionjo Vya Fasihi Simulizi Katika Riwaya Ya "Dar Es Saalam Usiku". Journal of Human Sciences, 21(2), 26–29. https://doi.org/10.51984/johs.v21i2.1902
Section
Articles