Tamathali za Semi katika Mashairi ya Shaaban Robert

Main Article Content

Badredden

Abstract

Makala hii inachunguza Tamathali za Semi katika mashairi ya


Shaaban Robert katika kazi zake za fasihi za Pambo la Lugha na


Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini.


Uchambuzi wetu ulijielekeza katika kuchunguza Uchambuzi wa


Kifafanuzi tamathali za semi zinazojitokeza katika mashairi ya


Shaaban Robert ndani ya vitabu teule na kwa kiasi gani msanii


aliitumia.


Katika makala hii tumegundua kuwa msanii alitumia tamathali za


semi kama mbinu ya kisanii kuwasilisha ujumbe kwa hadhira yake.


Sitiari. ,Tafsida, Takriri, Tashbiha, Tashhisi,


Tamathali za semi ambazo zimeonekana kutumiwa zaidi katika


mashairi hayo ni sitiari, tashibiha, tashihisi, tafsida na takriri.


Mwandishi pia alilenga kutumia Tamathali za Semi katika


katika ushairi wake ili kushughulikia baadhi ya masuala


ya kijamii, kama vile ukatili dhidi ya wanawake na nafasi


zao katika jamii.Hili ndilo lililofanya mashairi ya mwandishi kuwa na thamani ya kifasihi na kijamii, namtindo wake kuwa na mvuto katika jamii. makundi mbalimbali ya jamii ya Watanzania.

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Salem, B. (2024). Tamathali za Semi katika Mashairi ya Shaaban Robert. Journal of Human Sciences, 23(1), 31–34. https://doi.org/10.51984/johs.v23i1.2697
Section
Articles