Ulinganishi Wa Uundaji Wa Maneno Ya Kiswahili Na Ya Kiarabu

Main Article Content

Ibrahim Lehmedi

Abstract

Makala hii imejadili suala la ulinganishi wa uundaji wa maneno ya Kiswahili na Kiarabu. Katika makala hii tumetoa taarifa kuhusu umuhimu na njia za uundaji wa maneno kwa jumla, aidha swala limejadiliwa ni utaratibi na kanuni za uundaji wa maneno katika lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiarabu. Pia tumejadili ulinganishi wa uundaji wa maneno kati ya lugha hizi mbili ili kuonyesha tofauti na uhusiano uliopo katika lugha ya Kiswahili nay a Kiarabu.

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Lehmedi, I. (2021). Ulinganishi Wa Uundaji Wa Maneno Ya Kiswahili Na Ya Kiarabu. Journal of Human Sciences, 20(2), 52–56. https://doi.org/10.51984/johs.v20i2.1337
Section
Articles