Ulinganishi Wa Fonolojia Ya Kiswahili Na Fonolojia Ya Kiarabu

Main Article Content

Ibrahim Elhadi Mohamed Lehmedi

Abstract

Makala haya yanalenga kulinganisha mifumo ya fonolojia ya lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiarabu. Katika kufanya ulinganishi huu kuna vipengele vitatu vitakavyozingatiwa. Kipengele cha kwanza ni kujadili mfumo wa fonolojia ya Kiarabu. Kipengele cha pili ni kujadili mfumo wa fonolojia ya Kiswahili. Ama katika kipengele cha tatu tutalinganisha kati ya fonolojia ya lugha hizi mbili. Vipengele hivi vitatu ambavyo vitazingatiwa katika utafiti huu vitatoa fununu kubwa juu ya uhusiano na tofauti kati ya fonolojia ya Kiswahili na fonolojia ya Kiarabu;

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Lehmedi, I. E. M. . (2021). Ulinganishi Wa Fonolojia Ya Kiswahili Na Fonolojia Ya Kiarabu. Journal of Human Sciences, 20(1), 188–192. https://doi.org/10.51984/johs.v20i1.1531
Section
Articles