UTAYARISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI NCHINI LIBYA

Main Article Content

IBRAHIM ELHADI MOHAMED

Abstract

Makala haya yamejadili suala la utayarishaji wa vitabu vya Kiswahili nchini Libya, Katika makala haya tumetoa taarifa kuhusu misingi ya Utayarishaji na Uandishi wa Vitabu vya Kiada, aidha tumechunguza hali ya Uandishi nchini Libya kwa Jumla. Hali kadhalika hali ya Uandishi wa Vtabu vya Kiswahili Nchini Libya umejadiliwa kwa kina.

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
IBRAHIM ELHADI MOHAMED. (2017). UTAYARISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI NCHINI LIBYA. Journal of Human Sciences, 16(1). https://doi.org/10.51984/johs.v16i1.269
Section
Articles