Mfumo Wa Elimu Na Hali Ya Lugha Ya Kiswahili Nchini Libya

Main Article Content

Ibrahim Elhadi Mohamed

Abstract

Makala hii imejadili suala la Mfumo Wa Elimu na Hali ya Lugha ya Kiswahili Nchini Libya, Katika makala hii tumetoa taarifa kuhusu mfumo wa elimu kwa jumla na nafasi ya lugha ya Kiswahili katika mfumo wa elimu nchini Libya. Pia tumejadili kwa urefu historia ya Idara ya Lugha na Taaluma za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Sebha na hasa Sehemu ya Kiswahili. Hali kadhalika Jitihada na Ustahiki wa Kiswahili na Sababu za Ustahiki wa Kiswahili umejadiliwa kwa kina katika makala hii.

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Ibrahim Elhadi Mohamed. (2018). Mfumo Wa Elimu Na Hali Ya Lugha Ya Kiswahili Nchini Libya. Journal of Human Sciences, 16(2). https://doi.org/10.51984/johs.v16i2.306
Section
Articles