Mfumo Wa Elimu Na Hali Ya Lugha Ya Kiswahili Nchini Libya

محتوى المقالة الرئيسي

Ibrahim Elhadi Mohamed

الملخص

Makala hii imejadili suala la Mfumo Wa Elimu na Hali ya Lugha ya Kiswahili Nchini Libya, Katika makala hii tumetoa taarifa kuhusu mfumo wa elimu kwa jumla na nafasi ya lugha ya Kiswahili katika mfumo wa elimu nchini Libya. Pia tumejadili kwa urefu historia ya Idara ya Lugha na Taaluma za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Sebha na hasa Sehemu ya Kiswahili. Hali kadhalika Jitihada na Ustahiki wa Kiswahili na Sababu za Ustahiki wa Kiswahili umejadiliwa kwa kina katika makala hii.

التنزيلات

بيانات التنزيل غير متوفرة بعد.

تفاصيل المقالة

كيفية الاقتباس
Ibrahim Elhadi Mohamed. (2018). Mfumo Wa Elimu Na Hali Ya Lugha Ya Kiswahili Nchini Libya. مجلة العلوم الإنسانية, 16(2). https://doi.org/10.51984/johs.v16i2.306
القسم
المقالات

الأعمال الأكثر قراءة لنفس المؤلف/المؤلفين