KUCHUNGUZA UKOMBOZI ZINAZOJITOKEZA KATIKA RIWAYA YA "KULI"

Main Article Content

Ahmed Emhemad Badda
Ali Idris Ali Aburima

Abstract

Makala hii inabainisha ukombozi uliojitokeza katika riwaya ya ( Kuli ), na kuelezea mbinu za kisanaa zilizotumiwa na mwandishi katika kujenga dhamira ya ukombozi katika riwaya hiyo, na data za makala hii zilikusanywa kwa kutumia mbinu za uchambuzi wa kimaudhui, na upitiaji wa nyaraka. Data hizo zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia ya Saikolojia Changanuzi.

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Badda أ. ا. ا., & Aburima ع. إ. ع. (2024). KUCHUNGUZA UKOMBOZI ZINAZOJITOKEZA KATIKA RIWAYA YA "KULI". Journal of Human Sciences, 23(1), 149–157. https://doi.org/10.51984/johs.v23i1.2904
Section
Articles
No Related Submission Found