Mfumo Wa Elimu Na Hali Ya Lugha Ya Kiswahili Nchini Libya

Authors

  • Ibrahim Elhadi Mohamed

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v16i2.306

Abstract

Makala hii imejadili suala la Mfumo Wa Elimu na Hali ya Lugha ya Kiswahili Nchini Libya, Katika makala hii tumetoa taarifa kuhusu mfumo wa elimu kwa jumla na nafasi ya lugha ya Kiswahili katika mfumo wa elimu nchini Libya. Pia tumejadili kwa urefu historia ya Idara ya Lugha na Taaluma za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Sebha na hasa Sehemu ya Kiswahili. Hali kadhalika Jitihada na Ustahiki wa Kiswahili na Sababu za Ustahiki wa Kiswahili umejadiliwa kwa kina katika makala hii.

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2018-01-01

Issue

Section

Articles

How to Cite

Mfumo Wa Elimu Na Hali Ya Lugha Ya Kiswahili Nchini Libya. (2018). Journal of Human Sciences, 16(2). https://doi.org/10.51984/johs.v16i2.306