Usawiri Wa Mwanamke Katika Utenzi Wa Vitimbi Vya Wanawake
Main Article Content
Abstract
Makala hii yenye madhumuni ya kueleza usawiri wa mwanamke kupitia utenzi wa Vitimbi vya wanawake. Ambapo mwanamke amechorwa ni mtu asiyeaminika, asiyejitambua, asiyejielewa wala kueleweka. Anayeongozwa na utashi wa nafsi yake na mbaya kuliko yote ni ile ya “samaki akioza mmoja kuambiwa wameoza wote”. Kwa kosa la mwanamke mmoja kuchukuliwa ni kosa la wanawake wote. Tatizo lililojitokeza ni kuona jinsi mwanamke alivyochorwa kuwa ni mtu anaejikomboa kutokana na mfumo mbaya wa ubabe dume katika jamii. Lakini mbinu au njia iliyotumika ni ya udhalilishaji kabisa. Kwani badala ya mwanamke huyo kuonekana amejikomboa kwa kutumia njia zinazokubalika kama vile; ya mazungumzo (siasa). Matokeo yake mwanamke huyo kuonekana amedhalilika zaidi. Katika kujipatia ukombozi wake. Mbinu zilizotumika katika makala hii ni ya maktabani. Kwa kuipitia matini husika na kuiona jinsi ilivyomsawiri mwanamke. Na mwanamke huyo kutambulika ni mtu wa namna gani katika jamii anayoishi. Makala hii imeeelezea historia ya mwandishi kwa ufupi, dhana ya usawiri. Nadharia iliyotumika katika makala hii ni nadharia ya mtazamo kike. Kwa lengo la kuonyesha jinsi gani mwanamke anahitaji kujikomboa dhidi ya ukandamizwaji wa mwanamme. Kwa umuhimu wa uchambuzi wa makala hii, imeeleza kuwa mwanamke ni mtu wa kuenziwa pamoja na kuthaminiwa na sio kudhalilishwa na kubandikiziwa kashfa juu ya kashfa ni hasara iliyoje. Kwani kila mwanaadamu awe mwanamke au mwanamme ana uhusiano wa namna moja au nyengine na mwanamke. Hivyo kumdhalilisha au kumgandamiza mwanamke ni sawa na mtu kujidhalilisha mwenyewe.
Downloads
Article Details
Journal of Humanities Policy on Intellectual Property and Plagiarism
1. Commitment to Intellectual Property and Ethics
The Journal of Humanities (JOHS) is fully committed to respecting intellectual property rights and aims to protect the originality and authentic work of authors who submit their manuscripts for publication. The journal takes a firm stand against articles that contain any form of plagiarism and emphasizes the need for all researchers to adhere to the highest ethical standards in scientific research.
2. Anti-Plagiarism Policy
The journal considers plagiarism a serious violation of academic ethics. Therefore, authors must ensure that their work is original and not plagiarized, and that any use of external sources is properly cited and documented according to correct academic standards.
-
Actions Taken: In the event that any plagiarism or academic theft is discovered in a submitted article, the editorial board will contact the author to request a formal explanation within a maximum period of two weeks from the date of notification.
-
Investigation and Decision: After receiving the explanation, the article will be referred to the journal's specialized committees, which will investigate the matter and take the necessary measures, which may include the permanent rejection of the article and the imposition of disciplinary actions.
3. Publication License and Author Rights
The journal adopts the Creative Commons license type Attribution-NonCommercial-NoDerivs 4.0 International (CC BY-NC-ND 4.0), which allows for the following:
-
Attribution: Users are entitled to cite the content published in the journal and use it in their work, provided that the original source and author are clearly credited.
-
Non-Commercial: The published content may not be used for any commercial purpose.
-
NoDerivs: It is not permitted to make any modifications, distortions, or to build derivative works from the published content.
Under this license, authors are required to complete an exclusive license agreement for the journal. Authors retain the rights to their research data and may reuse and share their work for scientific purposes with proper citation.