KUCHUNGUZA UKOMBOZI ZINAZOJITOKEZA KATIKA RIWAYA YA "KULI"

Authors

  • Ahmed Emhemad Badda Department of Languages and African Studies, College of Languages, Sebha University
  • Ali Idris Ali Aburima Department of Languages and African Studies, College of Languages, Sebha University

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v23i1.2904

Keywords:

Ukombozi, Riwaya ya Kuli, Jamii, Ukoloni, Uchomi

Abstract

Makala hii inabainisha ukombozi uliojitokeza katika riwaya ya ( Kuli ), na kuelezea mbinu za kisanaa zilizotumiwa na mwandishi katika kujenga dhamira ya ukombozi katika riwaya hiyo, na data za makala hii zilikusanywa kwa kutumia mbinu za uchambuzi wa kimaudhui, na upitiaji wa nyaraka. Data hizo zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia ya Saikolojia Changanuzi.

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2024-05-22

Issue

Section

Articles

Categories

How to Cite

KUCHUNGUZA UKOMBOZI ZINAZOJITOKEZA KATIKA RIWAYA YA "KULI". (2024). Journal of Human Sciences, 23(1), 149-157. https://doi.org/10.51984/johs.v23i1.2904

Similar Articles

71-80 of 120

You may also start an advanced similarity search for this article.