KISIWA CHA PEMBA ZANZIBAR

Main Article Content

Ali Idris Ali Aburima

Abstract

This Makala hii inahusu Kisiwa cha Pemba kilichopo katikati ya Bahari ya Hindi, ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Tanzania. Umbali na Tanganyika au Tanzania bara ni 50 km. Kimejulikana kwa muda mrefu kuwa ni kati ya miji ya kale ya kibiashara katika pwani ya Afrika ya Mashariki. Katika makala hii inabainisha umuhimu wa kisiwa cha Pemba katika Afrika mashariki na mambo mbalimbali kama: Hali ya hewa, mimea ya asili, kilimo, kazi, huduma za jamii na mwasiliano.

Downloads

Article Details

How to Cite
Aburima ع. (2025). KISIWA CHA PEMBA ZANZIBAR. Journal of Human Sciences, 24(1), 105–108. https://doi.org/10.51984/johs.v24i1.3710
Section
Articles
No Related Submission Found