KUCHUNGUZA MATUMIZI YA METHALI KATIKA MASHAIRI YA SAADAN KANDORO

Authors

  • Hamad Jabir Bashir قسم اللغويات والدراسات الأدبية، كلية الآداب والعلوم الاجتماعية، الجامعة المفتوحة، دار السلام
  • Mohamed Omary Maguo Department of Linguistics and Literary Studies, Faculty of Arts and Social Sciences, The Open University, Dar es Salaam

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v24i2.4026

Keywords:

Maadili, Kujenga, Elimu, Mbinu ya usomaji, Jina la shairi

Abstract

Makala haya yanahusu kuchunguza matumizi ya methali katika mashairi ya Saadan Kandoro kupitia diwani ya Mashairi ya Saadani. Methali ni kipera katika utanzu wa semi ambacho ni kipera kikongwe kinachotumika katika jamii kujenga maadili na kutoa elimu kwa watu wote. Methali zinapatikana katika kila jamii duniani popote pale anapoishi mwanadamu. Makala haya yamekusanya data kutoka katika diwani teule ya Mashairi ya Saadani kwa kutumia mbinu ya usomaji makini na kuchambuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo na nadharia ya Simiotiki. Makala yamebaini kwamba, methali katika mashairi ya Saadani Kandoro yanatumika kama jina la shairi, ndani katika beti za mashairi, kama kibwagizo na kama mwangwi.

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2025-11-19

Issue

Section

Articles

Categories

How to Cite

KUCHUNGUZA MATUMIZI YA METHALI KATIKA MASHAIRI YA SAADAN KANDORO. (2025). Journal of Human Sciences, 24(2), 233-236. https://doi.org/10.51984/johs.v24i2.4026

Similar Articles

1-10 of 87

You may also start an advanced similarity search for this article.