UTAYARISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI NCHINI LIBYA

محتوى المقالة الرئيسي

IBRAHIM ELHADI MOHAMED

الملخص

Makala haya yamejadili suala la utayarishaji wa vitabu vya Kiswahili nchini Libya, Katika makala haya tumetoa taarifa kuhusu misingi ya Utayarishaji na Uandishi wa Vitabu vya Kiada, aidha tumechunguza hali ya Uandishi nchini Libya kwa Jumla. Hali kadhalika hali ya Uandishi wa Vtabu vya Kiswahili Nchini Libya umejadiliwa kwa kina.

التنزيلات

بيانات التنزيل غير متوفرة بعد.

تفاصيل المقالة

كيفية الاقتباس
IBRAHIM ELHADI MOHAMED. (2017). UTAYARISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI NCHINI LIBYA. مجلة العلوم الإنسانية, 16(1). https://doi.org/10.51984/johs.v16i1.269
القسم
المقالات

الأعمال الأكثر قراءة لنفس المؤلف/المؤلفين