KUCHUNGUZA DHAMIRA YA MAPENZI NA KIJANA KATIKA NYINBO ZA BONGO FLEVA ZA MSANII NASIBU ABDUL

Authors

  • Abdulfattah Faraj Omar Department of Linguistics and Literary Studies, the Faculty of Arts and Social Sciences, The Open University Dar es Salaam
  • Mohamed Omary Maguo Department of Linguistics and Literary Studies, the Faculty of Arts and Social Sciences, The Open University Dar es Salaam

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v24i2.3825

Keywords:

Mapenzi, Kijana, Nyimbo, Dhamira

Abstract

Makala haya yanahusu kuchunguza dhamira ya mapenzi na kijana katika nyimbo za bongo fleva za msanii Nasib Abdul ambaye ni msanii maarufu wa nyimbo za bongo fleva wa nchi ya Tanzania. Data za makala haya zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usomaji makini na kuchambuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo na nadharia ya Saikolojia Changanuzi. Makala yamebaini kwamba kijana wa Kitanzania anasawiriwa katika kuteseka kimapenzi, mapenzi ya uongo, kubadili wapenzi na nguvu ya mapenzi. Kupitia mapenzi vijana wapo waliofanikiwa katika maisha na wapo ambao wamepata madhara kama kufariki kwa sababu tu ya mapenzi. Hii inaonesha kwamba mapenzi ni kitu chenye nguvu sana katika jamii na hasa kwa vijana.

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2025-08-17

Issue

Section

Articles

Categories

How to Cite

KUCHUNGUZA DHAMIRA YA MAPENZI NA KIJANA KATIKA NYINBO ZA BONGO FLEVA ZA MSANII NASIBU ABDUL. (2025). Journal of Human Sciences, 24(2), 86-89. https://doi.org/10.51984/johs.v24i2.3825