KUCHUNGUZA MATUMIZI YA LUGHA KATIKA WIMBO WA FULL STOP WA TAARAB YA MIPASHO WA KHADIJA KOPA

Authors

  • Abdulrahaman Fayz Baheeri Department, Swahili languagethe faculty of arts and social sciences, Open University, Dar es Salaam
  • Mohamed Omary Maguo Department, Swahili languagethe faculty of arts and social sciences, Open University, Dar es Salaam

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v24i2.3955

Keywords:

Matumizi, Katika, Kuona, Wimbo

Abstract

Makala haya yanalilenga kuchnguza matumizi ya lugha katika wimbo “Full stop” wa taarab ya mipasho wa Khadija Kopa ili kuona mchango wake katika kuibua dhamira ya mapenzi kwenye wimbo huo wa msanii maarufu ambaye anajulikana kwa jina la malkia wa nyimbo za taarab (Khadija Kopa). Data za makala haya zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usomaji makini pamoja na kusikiliza. Data zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mbinu ya kitaamuli yaani isiyokuwa ya kimahesabu. Makala haya yameongozwa na nadharia ya Simiotiki katika uchmabuzi wa data na kutoa data matokeo yanayoonesha matumizi ya lugha ya mafumbo, kuchanganya ndimi, matumizi ya mbinu ya sitiari na tashibiha ambazo zote zimetumika kuibua na kujenga dhamira ya mapenzi katika wimbo ulioteuliwa. 

Downloads

Download data is not yet available.

Downloads

Published

2025-11-08

Issue

Section

Articles

Categories

How to Cite

KUCHUNGUZA MATUMIZI YA LUGHA KATIKA WIMBO WA FULL STOP WA TAARAB YA MIPASHO WA KHADIJA KOPA. (2025). Journal of Human Sciences, 24(2), 207-210. https://doi.org/10.51984/johs.v24i2.3955

Similar Articles

1-10 of 35

You may also start an advanced similarity search for this article.