Tofauti Na Kufanana Ya Ada Za Harusi Baina Ya Waswahili Na Walibya

Main Article Content

Salem Mahmoud Abdulhadi Massoud

Abstract

Makala hii ilikusudia kuchunguza tofauti na kufanana baina ya harusi ya Waswahili na Walibya. Madhumuni yalikuwa Kubainisha  tofauti za ada za harusi baina ya Waswahili na Walibya. Lengo hasa ni kuona kiasi gani ya ada hizi hutofautiana na kufanana. Makala hii ilfanywa Zanzibar na Libya. Data zilipatikana kutoka kwa wanaofahamu ada hizi. Hawa walikwa ni wanawake na wanaume wazee wanaofahamu ada za harusi na taratibu zake kutoka sehemu zote mbili. Pia watafiti walishuhudia ada hizo katika harusi. Aidha, taarifa nyingine zinapatikana katika vitabu kuhusu historia na utamaduni wa Waswahili wa Zanzibar. Hata hivyo Makala itakuwa na umuhimu kwa wanafunzi wa somo la utamaduni kujua ada za harusi za Waswahili na Walibya. Vile vile wageni watokao nje ya Zanzibari wanaotaka kujua utamaduni wa jamii ya Wazanzibari au hata ya Walibya wataweza kufaidika na Makala hii

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Massoud, S. M. A. . (2022). Tofauti Na Kufanana Ya Ada Za Harusi Baina Ya Waswahili Na Walibya. Journal of Human Sciences, 21(1), 101–109. https://doi.org/10.51984/johs.v21i1.1397
Section
Articles

Most read articles by the same author(s)

No Related Submission Found