Muziki Kama Kichocheo Cha Mwamko Wa Siasa Nchini Tanzania

Main Article Content

Salem Mahmoud Abdulhadi Massoud

Abstract

IKISIRI: Muziki ni miongoni mwa kazi za sanaa zinazolenga kuburudisha, kuelimisha, kuonya, kuhamasisha, kuadili pamoja na kazi nyingine nyingi.  Suala la siasa ni miongoni mwa mambo ya msingi yanayotakiwa kujadiliwa kwa mapana na kwa kina ili kuwahamasisha watu hususani vijana kuongeza ushiriki wao katika shughuli za kisiasa. Ni dhahiri kuwa muziki unaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kuibua mijadala ya kisiasa. Makala haya yanalenga kujadili kwa kina mchango wa muziki katika kuleta mwamko wa kisiasa miongoni mwa wananchi nchini Tanzania. Aidha, makala haya yataangalia dhima na mchango wa muziki katika kuleta mwamko wa kisiasa nchini Tanzania.

Downloads

Download data is not yet available.

Article Details

How to Cite
Massoud, S. M. A. . (2021). Muziki Kama Kichocheo Cha Mwamko Wa Siasa Nchini Tanzania. Journal of Human Sciences, 20(2), 66–68. https://doi.org/10.51984/johs.v20i2.1398
Section
Articles