MATUMIZI YA KIAMBISHI " H-" KATIKA MIKTADHA MAALUMU YA KIISIMU YA KISWAHILI

المؤلفون

DOI:

https://doi.org/10.51984/johs.v24i2.4399

الكلمات المفتاحية:

kiambishi " h-" mofimu، Kiswahili، Isimu، Viambishi، Matumizi

الملخص

Utafiti  huu unahusu matumizi ya kiambishi " h-" ambacho kina kazi maarufu katika sarufi ya Kiswahili hasa katika kuonesha ukanushi. Lakini katika utafiti huu kiambishi hiki kina matumizi anuwai katika lugha. Kutambua kazi kutambua kazi ya kisarufi ni taaluma ya lugha (Isimu). Kiambishi hiki pia hutokea katika matumizi ambayo si ya kiisimu. Utafiti huu ulifanyika mjini Zanzibar kwa watafitiwa wanaotumia Kiswahili katika shughuli zao. Mbinu na zana zilizotumika zilihusu kudurusu makala katika maktaba, hojaji, na mahojiano kwa watafitiwa. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba watumiaji wa lugha, hata kama si wanaisimu, lakini wanazingatia usahihi wa kanuni za lugha. Aidha taaluma ya isimu ni muhimu katika kufungua njia na kueleza yale wanayoyajua. Kiambishi " h-" kina maumbo mbalimbali, kinafanya kazi kama mofimu na pia katika matumizi ya muundo unaokubaliwa na Kiswahili. Matokeo hayo ya utafiti yanashawishi kwamba kuna haja ya kufanya utafiti mpana zaidi katika lahaja mbalimbali za Kiswahili kwa kuwashirikisha watumiaji wa kawaida wa Kiswahili kwa sababu ujuzi na taaluma vinashirikishana.

التنزيلات

تنزيل البيانات ليس متاحًا بعد.

التنزيلات

منشور

2025-12-04

إصدار

القسم

المقالات

الفئات

كيفية الاقتباس

MATUMIZI YA KIAMBISHI " H-" KATIKA MIKTADHA MAALUMU YA KIISIMU YA KISWAHILI. (2025). مجلة العلوم الإنسانية, 24(2), 303-314. https://doi.org/10.51984/johs.v24i2.4399

المؤلفات المشابهة

1-10 من 24

يمكنك أيضاً إبدأ بحثاً متقدماً عن المشابهات لهذا المؤلَّف.