Usawiri wa Nafasi ya Mwanamke katika Tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano"
DOI:
https://doi.org/10.51984/johs.v23i1.2583Keywords:
Mwanamke, Tamthiliya, Jamii, Usawiri, AlikionaAbstract
Makala hii inalenga kuchunguza usawiri wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano" Katika kufanikisha lengo hili, tulichambua usawiri wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona na kuelezea uhalisia wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona kwa jamii ya leo. Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa usawiri wa mwanamke unajitokeza katika maeneo ya mwanamke ni uzinzi, mwanamke ni mtu wa hila na ghilba, mwanamke ni mpenda ufahari, mwanamke ni muongo, mwanamke na mmbeya, mwanamke na ujanja, mwanamke ni mtunza kumbukumbu, mwanamke ni stara, mwanamke ni mpenda kupigwa na mwanamke ni mtoa matusi. Usawiri huu wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona umethibitika kuwa na uhalisia katika maisha halisi ya jamii ya Watanzania ambapo mwanamke halisi anafanana na mwanamke ambaye anatajwa katika tamthiliya. Wapo wanawake kadhaa ambao wamekuwa na sifa kama hizo za mwanamke anayetajwa katika Alikiona.
Downloads
Downloads
Published
License
Journal of Humanities Policy on Intellectual Property and Plagiarism
1. Commitment to Intellectual Property and Ethics
The Journal of Humanities (JOHS) is fully committed to respecting intellectual property rights and aims to protect the originality and authentic work of authors who submit their manuscripts for publication. The journal takes a firm stand against articles that contain any form of plagiarism and emphasizes the need for all researchers to adhere to the highest ethical standards in scientific research.
2. Anti-Plagiarism Policy
The journal considers plagiarism a serious violation of academic ethics. Therefore, authors must ensure that their work is original and not plagiarized, and that any use of external sources is properly cited and documented according to correct academic standards.
-
Actions Taken: In the event that any plagiarism or academic theft is discovered in a submitted article, the editorial board will contact the author to request a formal explanation within a maximum period of two weeks from the date of notification.
-
Investigation and Decision: After receiving the explanation, the article will be referred to the journal's specialized committees, which will investigate the matter and take the necessary measures, which may include the permanent rejection of the article and the imposition of disciplinary actions.
3. Publication License and Author Rights
The journal adopts the Creative Commons license type Attribution-NonCommercial-NoDerivs 4.0 International (CC BY-NC-ND 4.0), which allows for the following:
-
Attribution: Users are entitled to cite the content published in the journal and use it in their work, provided that the original source and author are clearly credited.
-
Non-Commercial: The published content may not be used for any commercial purpose.
-
NoDerivs: It is not permitted to make any modifications, distortions, or to build derivative works from the published content.
Under this license, authors are required to complete an exclusive license agreement for the journal. Authors retain the rights to their research data and may reuse and share their work for scientific purposes with proper citation.


